Haipingiki kwamba Mungu alivyomwumba mwanamke alimwumba hivyo na kumfanya atofautiane kimaumbile na mwanaume kwa kusudi la kubeba kazi ya uumbaji wa Mungu ambayo...
1. KUKAA KIMYA Wanaume wengi hawaongei yanayowasibu kwa kuogopa kuonekana dhaifu. Kwa hiyo wanabaki na maumivu ya ndani kwa ndani. Ukimya wao unawafanya...
Kuna Gharama ya Kukaa Kikao na Wafalme. Sio rahisi kutaka kikao na wafalme. Kuna gharama kubwa ya kulipa ukitaka kufanya kikao na wafalme...
Mara nyingi Mungu akitaka kuwakomboa watu wake huwa anatumia mbinu inayoonekana kana kwamba anaruhusu watu wake wapigwe, waumizwe na kuangamizwa. Lakini katika huko...
Kuna watu wanaona haya kupiga magoti kuomba lakini hawaoni haya kupiga simu kuombaomba msaada kwa watu. Ni bora kuwa na aibu kuombaomba kuliko...
Ushahidi Kwamba Wewe ni Kiumbe wa ajabu Kuliko Maajabu Saba ya Dunia “Hawajui wala hawafahamu, hutembea gizani, Misingi yote ya nchi imetikisika. Mimi...
Baba ni jina au cheo ambacho kimetokana na neno "Abba" yaani "mwanzilishi /chanzo". Ndiyo maana mwanzilishi wa maisha yetu hapa duniani tunamuita Baba...
Ushoga ni neno pana ambalo mara nyingi linazungumzwa juu juu. Hapa nitakusaidia kupanua uelewa wako kuhusu ushoga ili kukusaidia na kukufanya uweze kuwasaidia...
Takwimu kutoka Shirika la Afya Duniani la umoja wa mataifa WHO za mwaka 2021 zinaeleza kiwango cha wanaume kujiua ni mara mbili zaidi...
Excepteur sint occaecat cupidatat non proident