Mafundisho ya kibiblia yaliyoandikwa kwa Kiswahili, yakilenga kuwawezesha waamini katika imani, maisha, na huduma.
Andiko:“Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu kwa hekima yote…” Wakolosai 3:16 TAFAKARI:Maisha ya ushindi ya Mkristo yanajengwa juu ya msingi...
Katika safari yao kuelekea Kanaani, Musa hakutamani tu kufika kwenye nchi ya ahadi bali alitamani uwepo wa Mungu zaidi ya ahadi hiyo. Alitambua...
Mungu hathamini tu kile tunachotoa, bali moyo na imani iliyopo nyuma ya kile tunachotoa. Watu wengi hutoa kwa sababu ya desturi, hofu, au...
Mathayo 6:33 (SUV): Bali utafuteni kwanza ufalme wa Mungu, na haki yake; na hayo yote mtazidishiwa. Mungu ni Mungu wa mpangilio, na katika...
Andiko:“Ufunuo 12:11 – Nao wakamshinda kwa damu ya Mwanakondoo na kwa neno (logos) la ushuhuda wao…” Tafakari:Katika maandiko ya asili, neno lililotumika hapa...
Zaburi 37:5 (SUV): Mkabidhi Bwana njia yako, pia umtumaini, naye atafanya. Katika safari ya imani, kuna hatua muhimu mbili ambazo huleta matokeo ya...
Andiko:“Maana Bwana ni mwema; fadhili zake ni za milele, Na uaminifu wake hudumu kizazi hata kizazi.” Zaburi 100:5 TAFAKARI:Katika dunia inayobadilika kila siku,...
“Kwa maana mimi ni Bwana nikuponyaye.” Kutoka 15:26 TAFAKARI: Mungu ameahidi uponyaji na afya kamili kwa watoto wake. Katika Kutoka 15:26, anajifunua kama...
Excepteur sint occaecat cupidatat non proident